Majadiliano:Ulezi

Latest comment: miaka 8 iliyopita by ChriKo in topic Taksonomia?

Taksonomia? hariri

Kuhusu ulezi sina uhakika ni zaidi mmea gani, kama ni kwa jumla yale ya "millet" au ni aina moja pekee. Hapo chini naorodhesha maneno kwa sorghum na millet katika kamusi ya TUKI, pamoja na maneno kadhaa kwa matumizi yake.

sorghum n mtama. mtama nm mi- [u-/i-] 1 sorghum plant. 2 sorghum seed. mkota1 nm mi- [u-/i-] sweet stalked sorghum. hasada nm [i-/zi-] sorghum porridge. liwa3 nm [i-/zi-] sorghum straw used for making bird traps.


mbege nm [i-/zi-] 1 finger millet. 2 finger millet brew. mawele nm [ya-] bullrush millet. uwele nm (mawele) [u-/ya-] bullrush millet.

serena nm [i-/zi-] white/ red quick ripening millet. ukura2 nm [u-] kind of millet. ulezi2 nm [u-] finger/bullrush millet. wimbi2 nm [u-] bulrush millet, eleusine dohani3 nm 1 kind of millet. 2 quality honey used as medicine.

felefele* nm [i-/zi-] millet of an inferior kind.

kirusu nm vi- [ki-/vi-] mixture of millet gruel and malt for brewing makomba nm [ya-] millet porridge mixed with malt for brewing. mapute nm [ya-] millet /rice husks. bisi nm [i-/zi-] fried maize/millet, corn kangara nm [i-/zi-] local brew made of maize or millet chaff, yeast and sprouted millet plus sugar or honey

Kipala (majadiliano) 18:08, 15 Mei 2015 (UTC)Reply

Kwa bahati mbaya watu wa TUKI si wataalamu wa kibiolojia au wa kilimo. Mwele au mlezi (mi-) ni mmea wa pearl (bulrush) millet. Punje zake huitwa mawele au malezi (u-). Malezi hutumika kwa finger millet pia, lakini wimbi ni bora. ChriKo (majadiliano) 23:13, 15 Mei 2015 (UTC)Reply
Return to "Ulezi" page.