Majadiliano:Vita ya Maji Maji

Latest comment: miaka 5 iliyopita by Riccardo Riccioni

Vita vya majimaji vilianza mwaka 1905-1907 ,swali langu ni mtawala aliyetawala wakati huo aliitwa nani na alichukua muda gani na chanzo kilicho sababisha vita hivyo ni nini.Ningependa nijuwe sababu za chazo cha vita hivyo.

Tellacky alichangia maneno haya: "Tujitahidi kufanya uchunguzi wakina watanganyika hatukuwa wajinga kiasi hiki historia hii sio". Lakini tumemjibu kwamba ushirikina upo, na unafanya watu wasadiki lolote. Ndio sababu ya mauaji ya maalbino, watoto wa Njombe n.k. Pamoja na hayo, hadi leo Wakaguru wakipigana na Wamasai wanatumia dawa inayodhaniwa kuyeyusha risasi kuma majimaji. --Riccardo Riccioni (majadiliano) 09:57, 12 Aprili 2019 (UTC)Reply

Rudi kwenye ukurasa wa " Vita ya Maji Maji ".