Majadiliano:Wakisi
Washeba wa Kusini mwa bara la Afrika
haririWasheba wa Kusini mwa bara la Afrika ni jamii mseto inayojumuisha takribani makabila makuu mane ya Wabantu, Wakushi, Wanailoti na Wakoisan.
Kabila la Washeba weusi lilianza asili yake ni Wakushi wa mbari ya Wahamitiki ambao huhujumuisha watu wa jamii ya Wakushi,Wamisri,Waphuti/Wapunti na Wakaanani.
Washeba hao wa Kihamitiko walianza kuwepo kati ya milenia ya 3 na milenia 2 KK ambapo makazi yao ya awali yalikuwa Mesopotamia.
Katika mwaka wa 2247 KK Washeba hao wa Kihamitiki waliingia katika bara la Afrika wakitokea Mesopotamia katika Mashariki ya kati ambapo walifika Kairo Misri na kugawanyika katika makundi matatu ya Wakulima waliofuata bonde la ufa, Wafugaji walioambaa kando kando ya bahari ya Shamu hadi Adisababa Ethiopia na Wavuvi waliofuata mto Nali hadi Karthoum (Karthoum) Sudan na kuingia katika eneo la Afrika Mashariki na Kati ambako Washeba hao wa Kihamitiki walianzisha utawala wa kifalme ambao ulidumu hadi katika karne ya 7 BK. SteOviKe (majadiliano) 04:48, 22 Juni 2024 (UTC)