Majadiliano:Wanyakyusa

Latest comment: mwaka 1 uliopita by 41.59.198.106 in topic Chimbuko la Wanyakyusa

Chimbuko la Wanyakyusa hariri

Ni kweli wanyakyusa wengi wanapenda kufanya ibada hata kama hawaoni uwepo wa Mungu. Wengine wanasema wanyakyusa hasa wa kyela walitokea Morogoro katika maeneo ya kilimo cha mpunga. sababu kubwa iliyowatoa huko ilikuwa ni kutuhumiwa na mambo ya kishirikina hivyo wakafukuzwa. N.B Hizi taarifa sio rasmi ila kuna mtu/watu waliokuwa wanazungumzia hoja hiyo, katika nyongeza ya mazungumzo yao walihusisha pia vita ya wanyakyusa na wasafwa kugombea maoneno ya Mbeya mjini. Tafadhali mwenye maelezo au documement ya Historia hii ni vyema tuelezane ili kizazi kinachokuja kisiendelee kupotoshwa.

Ahsante

41.59.198.106 05:25, 9 Machi 2023 (UTC)Reply

Return to "Wanyakyusa" page.