Majadiliano:Wazazi
Latest comment: miezi 11 iliyopita by 169.255.184.125 in topic Mlezi na mzazi
Mlezi na mzazi
haririTofauti ya mzazi na mlezi, mzazi ni baba au mama ambaye anauhusiano kwa kijenetiki na mtoto wake lakini mlezi anaweza kuwa mtu baki anahudumiwa mahitaji ya kijamii kwa mtoto japo hakuna mahusiano kijenetiki 169.255.184.125 19:44, 6 Desemba 2023 (UTC)