Majadiliano:Yohana 3:16

Latest comment: miaka 17 iliyopita by Kipala

Is this really an article??? 83.227.26.8 21:04, 2 Machi 2007 (UTC)Reply

It's an unfinished article. So far, it just quotes the verse. Matt Crypto 00:45, 3 Machi 2007 (UTC)Reply
Nimejaribu kupanua makala hii ili iwe makala kwelikweli. Mnaonaje? Ni "makala" sasa? --Oliver Stegen 07:43, 3 Machi 2007 (UTC)Reply
Asante kwa jaribio. Mimi sioni maana katika makala za aina hii. Kama hakuna kitu cha kusema kuhusu neno fulani - tuache ilivyo kwa muda, na baadaye ama tusahau au tufute.
Kwa neno hili sikumbuki ya kwamba ilikuwa neno lililojadiliwa sana pekee yake (hata kama ni neno linalojulikana sana). Tofauti ingekuwa "Waroma 13" kwa sababu mara nyingi katika majadiliano kuhusu Ukristo na serikali watu watarejea "jinsi ilivyoandikwa Waroma 13" - na hapa kuna tofauti ya kuielewa. --Kipala 11:10, 3 Machi 2007 (UTC)Reply
Return to "Yohana 3:16" page.