Majadiliano ya Wikipedia:Mwongozo (Kutaja vyanzo)/sanduku la mchanga

Latest comment: miaka 5 iliyopita by Musa paulin in topic [vicariusfrinday666]

[Viungo vya Nje] hariri

http://.musapaulin/mb50p.com/religion. Jihadharini na manabii wa uongo,watu wanaowajia wamevaa mavazi ya kondoo, walakini kwa ndani ni mbwamwitu wakali. (mathayo7:15) ujumbe huu ambao yesu aliutoa akiwafundisha wanafunzi wake,haukuwa ni wa wakati ule, bali wakati huu. Maana yesu mwenyewe hakuongea na kizazi kile bali na kizazi hiki. "Tazama nilishawaonya mbele nanyi mwaijua njia" yesu aliongea na kizazi kingine kwa mafumbo akiwahubiria watu wa karibu na mbali, pia kuhusu ufalme wa binguni alituonya ya kuwa kutatokea wafalme watakaotawala kimabavu yaani utawala wa lazima, na huo wakutesa watu wa mungu. Kama vile kitabu cha danieli kinavyotabiri (DANIEL 11:2,4) na manabii wa uongo kutokea nao watatadanganya wengiMusa paulin (majadiliano) 13:24, 20 Desemba 2018 (UTC)Reply

[vicariusfrinday666] hariri

Alama ya mnyama 666 ni nini? Alama ya mnyama 666 ni chapa ambayo itakayoleta mabadiliko ya kiutawala na kuwalazimu watu kufuata sheria ambazo ni za kikatili. Na mnyama huyu ni fumbo ambalo limetumiwa na kitabu cha ufunuo ili kwamba anayenenwa asijue.alama hii itawatesa watakatifu wa mungu na kuwafanya wasiache amri za mungu na kutumikia sanamu. Pia kuwalazimu watu kutouza na kununua wale wasio na alama hiyo. Tena wale wasiotii amri hiyo wauawe. Soma (ufunuo 13:16,18) hapa ndiyo penye hekima. Yeye aliye na akili na aihesabu hesabu ya mnyama huyo; maana ni hesabu ya kibinadamu. Na hesabu yake ni mia sita, sitini na sita.(666) vicarius frinday. Musa paulin (majadiliano) 13:59, 20 Desemba 2018 (UTC)Reply

Return to the project page "Mwongozo (Kutaja vyanzo)/sanduku la mchanga".