Majadiliano ya jamii:Fisikia

Latest comment: miaka 17 iliyopita by Kipala

Tumepata jinsi mbili za kuandika neno la Kiingereza la "physics", yaani 'fisikia' (kama katika 'Category' hii) na 'fizikia' (kama katika makala ya Fizikia). Kwa vile kamusi ya TUKI inasema 'fizikia' nami ningeshauri tuchukue hiyo na kubadilisha uandishi wa 'fisikia'. Tungeweza kuweka 'Redirect' kwa hizo makala zitakazobadilishwa. Asiyekubali aniambie. Asante! --Oliver Stegen 14:52, 10 Oktoba 2006 (UTC)Reply

Sawa kabisa !--Kipala 16:23, 10 Oktoba 2006 (UTC)Reply
Return to "Fisikia" page.