Majadiliano ya jamii:Makala kwa ufutaji
Latest comment: miezi 3 iliyopita by Balcon88 in topic jamii:Makala kwa ufutaji (Draft:Kelvin Derola)
jamii:Makala kwa ufutaji (Draft:Kelvin Derola)
haririHello there,
Naandika barua hii kuomba kuondoshwa kwa alama "futa" kwenye makala ambayo bado iko kwenye "draft" iitwayo Draft:Kelvin Derola
Tafadhari naomba ipitishwe na kama ikikupendeza, iondoshwe kwenye format ya Draft na iwe rasmi.
Ahsante
Jackson Limau Balcon88 (majadiliano) 19:46, 15 Septemba 2024 (UTC)