Majadiliano ya jamii:Vijisehemu nchi kwa nchi

Latest comment: miaka 3 iliyopita by Riccardo Riccioni

Hilo neno "vijisehemu" linamaanisha sehemu ndogondogo kabisa: halifai hasa kwa mikoa na wilaya. Neno sahihi ni ma-gatuzi. Mnasemaje? --Riccardo Riccioni (majadiliano) 14:18, 16 Septemba 2017 (UTC)Reply

Sijapata jibu lolote hadi leo. Mnasemaje? --Riccardo Riccioni (majadiliano) 14:01, 27 Septemba 2021 (UTC)Reply
Rudi kwenye ukurasa wa " Vijisehemu nchi kwa nchi ".