Majadiliano ya jamii:Watu walio hai
Latest comment: miaka 10 iliyopita by Riccardo Riccioni
Kuna tatizo la ukurasa mwingine kama huu ukiwa na jina kama hilo [[Jamii:Watu Walio Hai]]. Mwingine tena [[Jamii:Watu Walio hai]] nimejaribu kuukomesha. --Riccardo Riccioni (majadiliano) 14:47, 16 Agosti 2014 (UTC)
- Nadhani nimefaulu kuongeza kurasa zote zilizokuwa zimo katika jamii "Watu Walio Hai" kwenda "Watu walio hai" nikiwa nimebadilisha kigezo cha BD. Wasalaam, --Baba Tabita (majadiliano) 15:45, 16 Agosti 2014 (UTC)
- Asante. Mimi ningetumia siku kadhaa, kumbe wewe muda mfupi! Alibaki mmoja tu, nimerekebisha mwenyewe. --Riccardo Riccioni (majadiliano) 05:04, 17 Agosti 2014 (UTC)