Majadiliano ya kigezo:Artiodactyla

Latest comment: miaka 10 iliyopita by Rberetta in topic Ondoleo la kting voar

Ondoleo la kting voar

hariri

Ningependa kuondoa kitomeo cha "kting voar" (Pseudonovibos spiralis) kutoka kigezo hiki. Nafikiri kwa sasa imekubaliwa kwamba hakuna kting voar, na hakukuwa na mnyama huyo, kamwe. ITIS haitaji kting voar katika orodha ya spishi halali, na makala kadhaa yanasema ithibati ya kting voar ilitengenezwa na binadamu (kwa mfano en:Kting voar).Rberetta (majadiliano) 06:24, 25 Novemba 2014 (UTC)Reply

Rudi kwenye ukurasa wa " Artiodactyla ".