Majadiliano ya kigezo:Mji

Latest comment: miaka 16 iliyopita by Muddyb Blast Producer

Je isingekuwa afadhali tukiunda templeti "Mji"?? Yaani swali kama ni mji au jiji hutofautiana nchi na nchi. --Kipala 06:04, 15 Novemba 2007 (UTC)Reply

Katika Wikipedia ni sehemu ya kuchangia fahamu za watu tofauti. Labda mie sikuwa na fikra za kuweka "Mji" kwakuwa sikuwa na fikra za haraka katika kuweka Template hii Mji, wewe unaweza kuweka tu. Tufanye vile ipasavyo kuwa. Unaweza kui-redirect mpaka katika Mji, je waonaje? Endapo utaona kuna matatizo katika utajaji wa jedwali dogo, basi rekebisha. Ni katika kutaka kuweka mambo sawa. Sina mengi wako katika ujenzi wa Wikipedia.--Mwanaharakati 13:41, 15 Novemba 2007 (UTC)Reply

Return to "Mji" page.