Majadiliano ya kigezo:NPO

Latest comment: miaka 16 iliyopita by Muddyb Blast Producer

Katika wikipedia hamna mwenye kazi yake binafsi. Watu wote tunashirikiana katika kuunda au kuendeleza jambo lolote lile lenye kuhitaji ushirika, hivyo kila mtu ana haki ya kuweka makala, template na vitu vyote vinavyojiri katika wiki hii.--Mwanaharakati 08:17, 22 Desemba 2007 (UTC)Reply

Return to "NPO" page.