Majadiliano ya kigezo:PD-self

Latest comment: miaka 15 iliyopita by Muddyb Blast Producer in topic Jaribio na mjadala mkuu

Jaribio na mjadala mkuu hariri

Isiyobadilishwa hariri

Hii ni template husika isiyo na tafsiri yeyote ile. Labda tuitazame kisha tutoe hukumu juu yake!

Maelezo hariri

Kuhusu ile sehemu ya kutaja lugha, sio lazima ionekane kwani hata katika mawikipedia mengine inaonekana kuwa haipo. Ile ipo katika Commons tu, basi. Kuhusu tafsri, kuna kitu ulisahau kuweka (kiungo kuelekeza kwa Public Domain). Labda utazame tena kisha uisahihishe. Kingine kuna maneno kama This applies worldwide. Inakuwaje?--Mwanaharakati (Longa) 07:43, 31 Oktoba 2008 (UTC)Reply

Return to "PD-self" page.