Majadiliano ya kigezo:Uainishaji

Latest comment: miaka 18 iliyopita by ChriKo

Templeti hii inawezesha kutenga sanduku la uainishaji ya kisayansi kama ile katika makala ya binadamu.

Unaweza kutumia sehemu zinazofuata:

  • rangi (tumia "pink" kwa wanyama na "lightgreen" kwa mimea; lazima kutumia majina ya Kiingereza (kwa sababu haya ni majina ya HTML)).
  • jina (jina la spishi au jenera au familia; liwe sawa na jina la makala)
  • picha
  • upana_wa_picha
  • maelezo_ya_picha
  • picha2
  • upana_wa_picha2
  • maelezo_ya_picha2
  • domeni
  • himaya_ya_juu
  • himaya
  • nusuhimaya
  • faila_ya_juu
  • faila
  • nusufaila
  • nusufaila_ya_chini
  • ngeli_ya_juu
  • ngeli
  • nusungeli
  • nusungeli_ya_chini
  • oda_ya_juu
  • oda
  • nusuoda
  • nusuoda_ya_chini
  • familia_ya_juu
  • familia
  • nusufamilia
  • jenasi
  • nusujenasi
  • spishi
  • nususpichi
  • ramani (ramani ya maeneo ambapo spishi inapatikana)
  • upana_wa_ramani
  • maelezo_ya_ramani

Sehemu za "jina" na "rangi" lazima uzitumie. Sehemu nyingine siyo za lazima. Lakini ukitumia "picha", lazima utumie "upana_wa_picha" na "maelezo_ya_picha". Kadhalika kwa "picha2" na "ramani".

Lazima kutumia herufi ndogo (kama ilivyofanika kwenye makala ya Binadamu).

Marcos, asante sana!! Lakini templeti hii bado ina matatizo. Sehemu kubwa ya chini haionyeshi. Ukipata nafasi ya kuangalia "uainishaji" tena - itasaidia sana. Maswali mawili: A) je ni kazi kubwa kutengeneza matempleti mawili "uainishaji wa mimea" na "unainishaji wa wanyama"? B) Nimeona kwa templeti za Kijerumani ya kwamba wanaweka sehemu zinazotakiwa kubadilishwa KWA HERUFI KUBWA. Je, inawezekana kwetu pia? --Kipala 11:23, 31 May 2006 (UTC)
Kumbe naona mfano "binadamu" inafanya kazi. Na kama kazi ni kutumia ngazi tofauti - ni kubadilisha tu maneno ya mfano wa mtu?. Labda itatosha nilvyojaribu hapo chini. Naona umefanya safi!
Bwana ChriKo, jaribu na toa taarifa! --Kipala 11:38, 31 May 2006 (UTC)
JINA
Faili:PICHA.PNG/JPG/SVG
Uainishaji wa kisayansi
Domeni: JINA
Himaya: JINA
Nusuhimaya: JINA
Ngeli: JINA
Oda: JINA
Familia: JINA
Nusufamilia: JINA
Spishi: JINA
Nususpishi: JINA
Ndiyo, inafanya kazi, tutaitumia mpaka Marcos au mtu mwingine ataitengeneza vizuri zaidi. Nimekwisha kuweka "authority" ambayo nimetafsiri kama "bingwa". Ukifikiri kuna neno zuri zaidi, tafadhali usahihishe. Kipala, una hakika juu ya tafsiri la "sub"? TUKI inatoa "-dogo". ChriKo 23:15, 31 May 2006 (UTC)
Sina uhakika. Nimechunguza "kamusi awali ya sayansi na teknolojia" iliyotolewa na C.B.S. Uiso (UDSM-Fizikia), DPB Massamba (UDSM-TUKI) na JS Mdee (UDSM-TUKI) pamoja na kampuni. Hawafuati utaratibu. Mara ni nusu- (nusungeli), mara ni "sabu-" (sabufamilia, sabuoda), kuna pia ..-ndogo. "Sabu" sipendi kwa sababu inaongeza harufu ya pijini. Nusu au ndogo sisikii tofauti. Amua wewe. --Kipala 23:59, 31 May 2006 (UTC)
Bingwa / authority? Sijaelewa unaihitaji kueleza nini. --Kipala 00:04, 1 Juni 2006 (UTC)Reply
Sawa, kwa hivyo usipojali nimechagua "-dogo". Kuhusu "bingwa", mtu mwingine ataamua kwa sababu sijui Kiswahili sana. Lakini nieleze kwanza maana ya "authority" kwa taxobox. Hii ni mtu wa kwanza ambaye ameandika wasifu wa spishi au jenasi kwa gazeti ya sayansi. ChriKo 22:40, 1 Juni 2006 (UTC)Reply
Rudi kwenye ukurasa wa " Uainishaji ".