Majadiliano ya kigezo:Wikipedia kwa lugha nyingine

Latest comment: miaka 14 iliyopita by Lloffiwr
Wikipedia kwa lugha nyingine

Nimeongeza orodha ya lugha zenye makala mingi - ziko 25 sasa. Naona afadhali kutoa sentensi kuhusu lugha zenye makala zaidi na 10,000 kwa sababu orodha ya interwiki kwenye ukurasa wa mwanzo hauonyeshi lugha hizi zote. Yakikubalika naomba msaada wa mkabidhi aweke ukurasa mpya mahali pake. Lloffiwr (majadiliano) 11:07, 25 Mei 2009 (UTC)Reply

Return to "Wikipedia kwa lugha nyingine" page.