Majadiliano ya kigezo:Yesu Kristo

Latest comment: miaka 7 iliyopita by Riccardo Riccioni

Hakika nimeelewa kwamba Waromani na Wanglikana wanamwabudu Shetani kwasababu hizi:1:Ubatizo wao maana uko kinyume na agizo la Yesu...2:Matumizi ya Rozari ambayo hakuna Nabii,Mtume,Kuhani wala mtu yeyote aliyetumia Kifaa hicho katika mambo ya kiimani tena HAKUNA neno Rozari ktk Biblia...3:Sala zao yuu ya wafu eti wasamehewe wakti Mungu hajaagiza maombi kama hayo katika Neno lake(Biblia)...4:Tendo la kutokwenda na BIBLIA kanisani...5:Tendo la kubatiza watoto wadogo eti wakiamini kwamba wana dhambi...6:Kuomba wafu ili wafu wawalinde,wawaombee kwa Mungu wakati mwombezi wetu ni Yesu(Rumi 8:31....) na Roho Mtakatifu...7:Tendo la waumini kushiriki mkate(mwili) tuu bila divai(Damu) na huku kiongozi wao akila mwili na kinywa divai peke yake kinyume na Yesu alivyofanya na kuagiza...8: N.k.Hayo yote ni dalili za Mpinga Kristo.Mwisho:Yesu anasema tujifunze kwake.

Ndugu, asante kwa matusi yako. Labda hujajua Injili inavyofundisha unyenyekevu na hasa kutokuhukumu wengine. Kwa vyovyote sioni uhusiano kati ya hoja zako za kigezo chetu. Nakuombea Mungu akugeuze kuwa kama kitoto, la sivyo hakuna wokovu! Amani kwako! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 15:34, 11 Aprili 2017 (UTC)Reply
Rudi kwenye ukurasa wa " Yesu Kristo ".