Salam. Michango ni yamana sana. Lakini hutaki hata kujisajili au ku-log in wakati wa kuhariri. Haitakusaidia au kuonyesha michango gani uliyoifanya kwenye wikipedia hii. Sisi sote tunachangia kwa kusaini na si kuchangia bila kujisajili. Fanya uungwana huo eeh kaka eehh!--MwanaharakatiLonga 12:18, 21 Januari 2010 (UTC) Reply


Huu ni ukurasa wa majadiliano kwa mtumiaji asiyejulikana ambaye bado hajafungua akaunti, au ambaye haitumii. 

Kwa hivyo inatubidi kutumia anwani ya IP ya nambari ili kuwatambua. Anwani kama hiyo ya IP inaweza kushirikiwa na watumiaji kadhaa. Ikiwa wewe ni mtumiaji asiyejulikana na unahisi kuwa maoni yasiyo na maana yameelekezwa kwako, tafadhali fungua akaunti au ingia ili kuepuka kuchanganyikiwa kwa watumiaji katika siku za usoni na wengine wasiojulikana.