Salaam, Bwana naomba ujiandikishe (fungua akaunti) ili tupate kuwasiliana. Ninashukuru kuona ya kwamba unapenda kushiriki na kuboresdha makala. Kwa bahati mbaya michango mengi ina makosa. Kwa hiyo tuko tayari kukupa mwongozo ili michango yako yaboreshwe. Ila tu ukiendelea vile nitapaswa kukubana hapa. Maana jinsi ilivyo ni kazi nyingi kusafisha. Kipala (majadiliano) 08:04, 20 Septemba 2014 (UTC)

Rafiki hujafuata ombi langu (au hujasoma hapa?) - kwa bahati mbaya napaswa kukuzuia sasa. Idadi kubwa ya hariri zako hazifai jinsi zilivyo. 23:08, 2 Novemba 2014 (UTC)

Huu ni ukurasa wa majadiliano wa mtumiaji ambaye hana jina na bado hajaumba akaunti bado, au hajawahi kutumia kabisa.

Kwa hiyo tunatumia namba za anwani ya IP yake kumtambulisha. Anwani ya IP kama hiyo inaweza kutumika na watumiaji kadhaa. Labda itakusumbua kwamba kuna maoni mengine yanawekwa hapa na unaamini kwamba haya maoni hayakulengi. Ikiwa hivyo, tafadhali fungua akaunti au ingia ili kuepuka kuchanganywa na watumiaji wengine ambao hawana jina.