Karibu kwenye Wikipedia kwa Kiswahili!

Tunamfurahia kila mmoja anayeingia na kuungana nasi. Hii ni kamusi elezo ya maandishi huru. Unaweza kuandika makala uipendayo ama kuitafsiri kutoka Wikipedia ya lugha nyingine.

Ukipenda kutumia kurasa zetu za mwongozo na msaada, a) ukitumia simu bofya kwa "Dawati" chini kwenye dirisha lako na n) ubadilishe mwonekano wa Wikipedia kwa kubofya "Switch to old look" kwenye menyu upande wa kushoto.

Kwa mawili matatu labda tazama:

Jisikie huru kuuliza swali lolote lihusianalo na Wikipedia hii. Karibu kujitambulisha kwenye "Ukurasa wa mtumiaji". Ukitaka kupata kwanza uzoefu wa kuweza kuhariri Wikipedia, tafadhali tumia ukurasa wako kwa majaribio. Humo unaruhusiwa kujipatia uzoefu wa uundaji wa makala za Wikipedia! Juu yako mwenyewe uandike tu kwenye ukurasa wako wa mtumiaji. Humo uko huru kutangaza chochote upendacho, kama si biashara au matusi.

Ujue miiko:

Tunakushauri pia kuandikisha email yako; haitaonekana na wengine lakini wataweza kukuandikia kupitia mfumo wa Wikipedia. Karibu sana!


Welcome to Kiswahili Wikipedia!

We welcome you even if you don't speak Kiswahili. For a bot flag go to this site. If you try to edit entries as a non-speaker, it is better to first communicate with one of our admins who can advise you. You may find them at Wikipedia:Wakabidhi. And, please:

  • do not post computer translated texts (like Google Translate, Content Translation, etc. all do not work for Swahili)
  • nor copied texts/images from other webs to this site!
  • do not use links to commercial pages, never post anything that looks like advertising.

As a newcomer we advise that you register your email. This will not be visible to others but it allows us to notify you, which often is helpful in case of problems.

Idd ninga (majadiliano) 11:43, 25 Mei 2021 (UTC)Reply

Habari. nimepitilia Uwanja wa michezo wa Martyrs. Kulikwa na makosa mengi mno. Tafadhali jitahidi zaidi. Usiache vitu kama "Nukuu inahitajika | tarehe = Machi 2019" na mengine. Je unatumia tafsiri ya kompyuta? Usifanye hovyo. Kipala (majadiliano) 11:51, 11 Juni 2021 (UTC)Reply

Kuondoa Mabano hariri

Salamu, hongera sana kwa juhudi zako katika uhariri , ni vyema sana kutazama maneno amabyo yanafaa kuondolewa mabano kabla ya kuyafuta, neno kama litakuwa na rangi nyekundu, inamaanisha kuwa hakuna makala ambayo imeandikwa, hivyo kuliko kulitoa wakati mwingine ni heria kuangalia kama kuna makala ndani yake, kama haipo kabisa ni bora kuianzisha kuliko kuifuta, pia kama neno moja katika makala moja limeshawekewa mabano, basi ni bora kutokurudia neno hilo kwa kuliwekea mabano mara ya pili, Amani sana Idd ninga (majadiliano)

Rangi Nyekundu hariri

Habari Carren,ukiona rangi neno lina rangi nyekundu katika makala haimaanishi kuwa neno hilo limekosewa,rangi nyekundu humaanisha kuwa neno hilo au jina hilo bado halina makala katika Kiswahili, si vyema kulifuta kama halina madhara, unaweza kuanzisha makala nyingine,Amani Sana. Idd ninga (majadiliano)

Swa hakuna shida Idd ila hua siyafuti ninafany kuondoa mabano tu ila neno ninaliacha Carren loy (majadiliano) 08:27, 15 Juni 2021 (UTC)Reply