Karibu kwenye Wikipedia kwa Kiswahili!

Tunamfurahia kila mmoja anayeingia na kuungana nasi. Hii ni kamusi elezo ya maandishi huru. Unaweza kuandika makala uipendayo ama kuitafsiri kutoka Wikipedia ya lugha nyingine.

Ukipenda kutumia kurasa zetu za mwongozo na msaada, a) ukitumia simu bofya kwa "Dawati" chini kwenye dirisha lako na n) ubadilishe mwonekano wa Wikipedia kwa kubofya "Switch to old look" kwenye menyu upande wa kushoto.

Kwa mawili matatu labda tazama:

Jisikie huru kuuliza swali lolote lihusianalo na Wikipedia hii. Karibu kujitambulisha kwenye "Ukurasa wa mtumiaji". Ukitaka kupata kwanza uzoefu wa kuweza kuhariri Wikipedia, tafadhali tumia ukurasa wako kwa majaribio. Humo unaruhusiwa kujipatia uzoefu wa uundaji wa makala za Wikipedia! Juu yako mwenyewe uandike tu kwenye ukurasa wako wa mtumiaji. Humo uko huru kutangaza chochote upendacho, kama si biashara au matusi.

Ujue miiko:

Tunakushauri pia kuandikisha email yako; haitaonekana na wengine lakini wataweza kukuandikia kupitia mfumo wa Wikipedia. Karibu sana!


Welcome to Kiswahili Wikipedia!

We welcome you even if you don't speak Kiswahili. For a bot flag go to this site. If you try to edit entries as a non-speaker, it is better to first communicate with one of our admins who can advise you. You may find them at Wikipedia:Wakabidhi. And, please:

  • do not post computer translated texts (like Google Translate, Content Translation, etc. all do not work for Swahili)
  • nor copied texts/images from other webs to this site!
  • do not use links to commercial pages, never post anything that looks like advertising.

As a newcomer we advise that you register your email. This will not be visible to others but it allows us to notify you, which often is helpful in case of problems.

Kipala (majadiliano) 20:19, 23 Januari 2013 (UTC)Reply[jibu]

Karibu, Mzee Wangu hariri

Salaam, tele kutoka Buguruni, Dar es Salaam. Haya, sijakupa zile karibu za binafsi, mzee wangu. Ninachukua fursa hii kukukaribisha katika Wikipedia ya Kiswahili. Kama una swali, tafadhali uliza tu na nitakusaidia kadiri iwezekanavyo. Wako,--MwanaharakatiLonga 06:31, 6 Aprili 2013 (UTC) Asante sanaMwanaharakatiLonga kwa kunikaribisha nami naona basi ni vema tukashirikiana kulipeleka gurudumu hili nakuona namna ambavyo jamii yetu ya kitanzania nayo inapata fursa ya kushiriki kikamilifu katika kurasa za Wikipedia. kwa mtazamo wangu kwa sasa naona ni muhimu sana tumsaidie Jimmy wales kuendeleza haya yeye alianzisha lakini kwa sasa Wikipedia imekuwa ni chombo muhimu sana cha Elimu kwa jamii inayotuzunguka, na kwa kulijua hilo mimi nimeishauri hata timu yetu ya maombi ya kuandaa mkutano wa Wikimania kama Arusha itashinda basi tutatoa zawadi nono kabisa kwa waanzilishi wa Wikimedia na sasa ndugu yangu MwanaharakatiLonga nakuomba uwahamasishe watu wengi ambao wapo katika tasnia hii ya wikipedia watuunge mkono ili Arusha ishinde na kufanya mambo makubwa zaidi na zaidi ya ilivyowahi kufanyika. huu ni wakati wa africa, ManawaElimu kwanza11:48, 6 April 2013 Reply[jibu]