Karibu kwenye Wikipedia kwa Kiswahili!

Tunamfurahia kila mmoja anayeingia na kuungana nasi. Hii ni kamusi elezo ya maandishi huru. Unaweza kuandika makala uipendayo ama kuitafsiri kutoka Wikipedia ya lugha nyingine.

Ukipenda kutumia kurasa zetu za mwongozo na msaada, a) ukitumia simu bofya kwa "Dawati" chini kwenye dirisha lako na n) ubadilishe mwonekano wa Wikipedia kwa kubofya "Switch to old look" kwenye menyu upande wa kushoto.

Kwa mawili matatu labda tazama:

Jisikie huru kuuliza swali lolote lihusianalo na Wikipedia hii. Karibu kujitambulisha kwenye "Ukurasa wa mtumiaji". Ukitaka kupata kwanza uzoefu wa kuweza kuhariri Wikipedia, tafadhali tumia ukurasa wako kwa majaribio. Humo unaruhusiwa kujipatia uzoefu wa uundaji wa makala za Wikipedia! Juu yako mwenyewe uandike tu kwenye ukurasa wako wa mtumiaji. Humo uko huru kutangaza chochote upendacho, kama si biashara au matusi.

Ujue miiko:

Tunakushauri pia kuandikisha email yako; haitaonekana na wengine lakini wataweza kukuandikia kupitia mfumo wa Wikipedia. Karibu sana!


Welcome to Kiswahili Wikipedia!

We welcome you even if you don't speak Kiswahili. For a bot flag go to this site. If you try to edit entries as a non-speaker, it is better to first communicate with one of our admins who can advise you. You may find them at Wikipedia:Wakabidhi. And, please:

  • do not post computer translated texts (like Google Translate, Content Translation, etc. all do not work for Swahili)
  • nor copied texts/images from other webs to this site!
  • do not use links to commercial pages, never post anything that looks like advertising.

As a newcomer we advise that you register your email. This will not be visible to others but it allows us to notify you, which often is helpful in case of problems.

Kipala (majadiliano) 18:05, 4 Aprili 2020 (UTC)Reply

Asante kwa michango zako. Jaribu kuelewa mwogozo kuhusu umbo la makala. Hatutumii herufi koze ilipokuwa kama inasaidia mpangilio wa makala. Ninaondoa alama hizo tena. Kipala (majadiliano) 21:00, 4 Aprili 2020 (UTC)Reply

Naona itakuwa vizuri sana ukipitilia mwongozo kwanza. Mfano herufi koze ni neno la kwanza katika makala, baadaye labda kwa kusaidia kuona mpangilo wa makala, si menginevyo. Mabano mraba ]][[ tunatumia kuunda kiungo kwa makala nyingini iliyopo; hii tusitumie mara kwa mara (angalia jinsi nilivyoondoa alama za viungo kwa neno "parokia" ulipozitumia mara nyingi),Kipala (majadiliano) 21:11, 4 Aprili 2020 (UTC)Reply

Parokia ya Kishogo hariri

Habari,
Makala hii inakiuka moja misingi ya uandishi kwa sababu haina vyanzo vya habari yake, hivyo ni vizuri kuboresha kwa kuandika vyanzo mbalimbali. Ahsante Czeus25 Masele (majadiliano) 14:23, 5 Aprili 2020 (UTC)Reply

Bwana Jovin, usikate tamaa. Ni kweli kwa kawaida tunahitaji ushahidi fulani kwa habari zinazopelekwa hapa Wikipedia. Kwa hiyo kama unajua kijitabu au makala katika magazeti unayoweza kutaja takuwa vema sana. Kwa upande mwingine hadi sasa tumevumilia habari za kimahali hata bila ushahidi (isingewezekana kwenye wikipedia ya Kiingereza) ilhali tunatambua hali gumu ya ushahidi katika mazingira ya Tanzania. Tuone wengine watasemaje katika majadliano. Kipala (majadiliano) 17:19, 5 Aprili 2020 (UTC)Reply

Nd Jovin, asante kwa kuongeza marejeo ya kitabu. Ukiwa na kitabu hiki, ingekuwa vema sana kama unaweza kutaja mara kadhaa ukurasa ambako habari fulani inatajwa. Angalia hapa Wikipedia:Mwongozo_(Kutaja_vyanzo), fuata maelezo "Tanbihi chini ya ukurasa"; maana marejeo yako si ya intaneti, ni kitabu. Angalia pia chini "Namna ya kutaja vyanzo". Kwa kutumia menu tazama Mwongozo: Wikipedia:Mwongozo_(Anzisha_makala), tumia alama ya "tanbihi". Baada ya kufanya hii haitakuwa tena sababu ya kuona tangazo la "futa". Kipala (majadiliano) 21:00, 5 Aprili 2020 (UTC)Reply