Karibu kwenye Wikipedia kwa Kiswahili!

Tunamfurahia kila mmoja anayeingia na kuungana nasi. Hii ni kamusi elezo ya maandishi huru. Unaweza kuandika makala uipendayo ama kuitafsiri kutoka Wikipedia ya lugha nyingine.

Ukipenda kutumia kurasa zetu za mwongozo na msaada, a) ukitumia simu bofya kwa "Dawati" chini kwenye dirisha lako na n) ubadilishe mwonekano wa Wikipedia kwa kubofya "Switch to old look" kwenye menyu upande wa kushoto.

Kwa mawili matatu labda tazama:

Jisikie huru kuuliza swali lolote lihusianalo na Wikipedia hii. Karibu kujitambulisha kwenye "Ukurasa wa mtumiaji". Ukitaka kupata kwanza uzoefu wa kuweza kuhariri Wikipedia, tafadhali tumia ukurasa wako kwa majaribio. Humo unaruhusiwa kujipatia uzoefu wa uundaji wa makala za Wikipedia! Juu yako mwenyewe uandike tu kwenye ukurasa wako wa mtumiaji. Humo uko huru kutangaza chochote upendacho, kama si biashara au matusi.

Ujue miiko:

Tunakushauri pia kuandikisha email yako; haitaonekana na wengine lakini wataweza kukuandikia kupitia mfumo wa Wikipedia. Karibu sana!


Welcome to Kiswahili Wikipedia!

We welcome you even if you don't speak Kiswahili. For a bot flag go to this site. If you try to edit entries as a non-speaker, it is better to first communicate with one of our admins who can advise you. You may find them at Wikipedia:Wakabidhi. And, please:

  • do not post computer translated texts (like Google Translate, Content Translation, etc. all do not work for Swahili)
  • nor copied texts/images from other webs to this site!
  • do not use links to commercial pages, never post anything that looks like advertising.

As a newcomer we advise that you register your email. This will not be visible to others but it allows us to notify you, which often is helpful in case of problems.

Kipala hariri

Habari, Kipoma (majadiliano) 10:36, 6 Novemba 2017 (UTC)Reply

Nzuri tu! Kipala (majadiliano) 10:54, 6 Novemba 2017 (UTC)Reply

Kipala hariri

Asante kwa kujibu salami yangu, naomba niulize, hivi wachangiaji wa humu Wikipedia wanapata faida gani ? Maana kuna wengine wanachangia vizuri sana!! Kipoma (majadiliano) 16:19, 6 Novemba 2017 (UTC)Reply

Riccard Riccioni hariri

Habari, mimi ni mtumiaji mpya katika wikipedia hii toka nimejisajili!! Nahitaji msaada mkubwa ili niweze kuwa kama wewe katika wikipedia hii!! Kipoma (majadiliano) 16:34, 6 Novemba 2017 (UTC)Reply

Kipoma hariri

Asante kaka Kipoma (majadiliano) 14:56, 19 Aprili 2018 (UTC)Reply

Ndugu hariri

Salaam, Naona una maswali meengi. Kiasi sio rahisi kujibu tena kwa vile ugeni wako unasaliti maarifa. Naomba nitumie email naweza kukusaidia kujibu maswali yako yote.--Muddyb Mwanaharakati Longa 05:25, 20 Aprili 2018 (UTC) Reply