Ndugu Kurwa Bernad hujambo? Nimeona mchango na hasira zako katika kuiboresha makala ya Dogo Ditto. Ninasema, Hongera! Je, ungependa nikusaidie mawili matatu? Huku ukiwa labda na wazo la kutunga makala nyingine mbali na hiyo? Kuna mambo madogo sana umebugi, lakini sio ishu kabisaaa! Wako..--MwanaharakatiLonga 13:57, 29 Agosti 2013 (UTC)

Dogo DittoEdit

Nmejaribu kuandika..... nilipokosea nisaidie tu mwanaharakati sote tuna lengo la kusaidia kwenye hili, nitkushukuru sana.

Article requestsEdit

Hi! Do you do article requests on the Swahili Wikipedia?

Thanks WhisperToMe (majadiliano) 05:25, 30 Agosti 2013 (UTC)