Majengo ya Jadi ya Asante

Majengo ya Asili ya Asante ni mkusanyiko wa majengo 10 yaliyojengwa kitamaduni kutoka wakati wa milki ya Ashanti katika eneo karibu na Kumasi.[1]

Usanifu wa Dola ya Ashanti iliyochorwa na Thomas Edward Bowdich mnamo 1817

Marejeo

hariri
  1. "Asante Traditional Buildings". UNESCO World Heritage Convention. United Nations Educational, Scientific, and Cultural Organization. Iliwekwa mnamo 23 Oktoba 2022.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)