Maji Maji Football Club ni timu ya mpira wa miguu yenye makazi yake Songea, Mkoa wa Ruvuma, Tanzania. wanacheza katika Uwanja wa Majimaji wenye uwezo wa kubeba watazamaji 30,000.[1]

Marejeo

hariri
  1. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-07-31. Iliwekwa mnamo 2023-05-14.
  Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Maji Maji F.C. kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.