Majoriko alikuwa mtoto wa Dionisya.

Mt. Dionisya na mwanae. Katika mchoro huo wa Jacques Callot (miaka ya 1630) mtoto Majoriko anahimizwa na mama yake Dionisya kuvumilia mateso ya kifodini.

Ni kati ya wafiadini wa Kanisa Katoliki waliouawa kikatili sana na Wavandali katika karne ya 5, wakati wa utawala wa mfalme Huneriki aliyekuwa Mwario.

Habari zao zimeandikwa na askofu Vikta wa Vita.[1]

Tangu kale wanaheshimiwa kama watakatifu.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 6 Desemba.

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  1. Ambrasi, Domenico (1 Feb 2001). Santi Dionisia, Dativa, Leonzia, Terzo, Emiliano, Bonifacio, Maiorico e Servo Martiri. Santi e beati. Iliwekwa mnamo February 18, 2009.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.