Makala hii kuhusu "Makabila ya Gabon" ni fupi mno. Inahitaji kupanuliwa mapema.

Makabila ya Gabon hariri

Nchini Gabon kunayo makabila mengi. Kabila kubwa zaidi ni Wafang, na mengine ni Wapunu, Wamyene, Washira na Wamahongwe.