Makaburi ya Mazimbu
Ni makaburi ya wanaharakati wa kupinga ubaguzi wa rangi wa Afrika kusini waliofariki uhamishoni,yanayopatikana mkoani Morogoro Tanzania.[1]
Marejeo
hariri- ↑ "SA leader's emotional Mazimbu tour". The Citizen (kwa Kiingereza). 2021-04-10. Iliwekwa mnamo 2024-10-12.