Makubadhi

Makubadhi ni viatu ambavyo hutengenezwa aghalabu kwa ngozi na huvaliwa na watu wa jamii mbalimbali. Yapo ya aina nyingi, lakini yote yanakinga nyayo tu, si miguu mizima.

Aina mojawapo ya makubadhi.
Blank template.svg Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Makubadhi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.