Makubaliano (kutoka kitenzi "kukubali"; kwa Kiingereza: convention) ni muafaka unaoafikiwa na pande mbili au zaidi kwa maridhiano fulani, yanaweza yakawa ni makubaliano ya kisheria ama yasiwe ya kisheria.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya sheria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Makubaliano kama historia yake au uhusiano wake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.