Makubaliano ya Escazú
Makubaliano ya Escazú kikanda ya kupata taarifa, ushirikishwaji wa umma na haki kuhusiana na masuala ya kimazingira huko Amerika ya Kilatini na Visiwa vya Karibi ijulikanayo kama Makubaliano ya Encanzu ni mkataba wa kimataifa uliosainiwa na 25 Amerika ya Kilatini na Visiwa vya Karibi unaohusiana na haki ya kupata taarifa kuhusiana na maswala ya kimazingira, ushirikishwaji wa umma kwenye kufanya maamuzi yanayohusu mazingira, haki ya mazingira na mazingira yenye afya na toshelevu kwa vizazi vya sasa na baadaye.[1]
Marejeo
hariri- ↑ "Regional Agreement on Access to Information, Public Participation and Justice in Environmental Matters in Latin America and the Caribbean" (PDF). CEPAL. 4 Machi 2018. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2021-02-06. Iliwekwa mnamo 20 Aprili 2021.
{{cite web}}
: More than one of|accessdate=
na|access-date=
specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |