Makubaliano ya kimataifa ya kutokomeza vitendo vyote vya ubaguzi wa rangi

Makubaliano ya kimataifa ya kutokomeza vitendo vyote vya ubaguzi wa rangi (kwa Kiingereza: International Convention on the Elimination of All Forms of Racial Discrimination; kifupi: ICERD) ni chombo cha kizazi cha tatu cha haki za binadamu cha Umoja wa Mataifa. Makubaliano hayo yaliwasisitiza wanachama wake kutokomeza vitendo vyote vya ubaguzi wa rangi na kukuza uelewa katika jamii zote [1] .

Marejeo hariri

  1. United Nations General Assembly Resolution 1510 (XV), 12 December 1960.