Makumbusho ya Chichiri

Makumbusho ya Chichiri (pia yanajulikana kama Makumbusho ya Malawi na awali kama Makumbusho ya Nyasaland) ni jumba la makumbusho la kihistoria na kitamaduni lililoko Blantyre, Malawi[1].

Makumbusho hayo yalianzishwa kupitia sheria mnamo Mei 1957. Jengo la sasa la makumbusho lilijengwa mwaka wa 1965 huko kwenye kalima cha Chichiri, Blantyre, kwa kutumia fedha kutoka kwa Beit Trust na Serikali ya Malawi[2]. Jumba la makumbusho lilifunguliwa rasmi mnamo Juni 1966.

MarejeoEdit