Makumbusho ya Kitaifa ya Bardo

Makumbusho ya Kitaifa ya Historia na Ethnografia ya Bardo (Kiarabu: المتحف الوطني باردو, El-mathaf El-ouatani Bardo , Kifaransa: Musée National de Préhistoire et d'Ethnographie du Bardo) ni makumbusho ya kitaifa yaliyoko Algiers, Algeria.[1] ilifunguliwa kama makumbusho mwaka 1927.[2]

Makumbusho ya mahakama

Marejeoo

hariri
  1. Nabila Oulebsir (2004). Les Usages du patrimoine: Monuments, musées et politique coloniale en Algérie, 1830-1930. Les Editions de la MSH. uk. 263. ISBN 978-2-7351-1006-3.
  2. Jean-Jacques Jordi; Jean-Louis Planche (1999). Alger, 1860-1939: le modèle ambigu du triomphe colonial. Éds. Autrement. uk. 79. ISBN 978-2-86260-887-7.
  Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Makumbusho ya Kitaifa ya Bardo kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.