Makumbusho ya Kitaifa ya Mambo ya Kale na Sanaa za Kiislamu
Makumbusho ya Kitaifa ya Mambo ya Kale na Sanaa ya Kiislamu (kwa Kifaransa: Musée National des Antiquités & des Arts Islamiques) ni jumba la makumbusho la sanaa huko Algiers, Algeria.[1]
Marejeo
hariri- ↑ "Museum: Entrance Hall, II, Algiers, Algeria". World Digital Library. 1899. Iliwekwa mnamo 2013-09-25.
Viungo Vya Nje
hariri- Tovuti rasmi]
- Maelezo katika Archnet.org