Makurdi ni mji wa jimbo la Benue nchini Nigeria.

Mto Benue unaopita MAKURDI
Mto Benue unaopita MAKURDI

Mwaka 2022 umekadiriwa kuwa na wakazi 292,645[1].

Tazama pia hariri

Marejeo hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Nigeria bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Makurdi kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.