Malamine Efekele (alizaliwa 19 Julai 2004)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Ufaransa, ambaye anacheza kama mshambuliaji katika klabu ya Cercle Brugge inayoshiriki ligi kuu ya Ubelgiji akitokea AS Monaco kwa mkopo.

Marejeo

hariri
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Malamine Efekele kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.