Malaysia Mashariki

Malaysia Mashariki ("Malaysia Timur") ni sehemu ya Malaysia inayopatikana kaskazini mwa kisiwa cha Borneo na visiwa vidogo vya jirani.

A black and white general world map with East Malaysia highlighted in green
Malaysia Mashariki katika Asia ya Kusini-Mashariki.
A map of Borneo showing East Malaysia and its major cities. Labuan is the island off the coast of Sabah near Kota Kinabalu.
Ramani ya kisiwa cha Borneo, ikionyesha Malaysia Mashariki kwa rangi ya chungwa.

Inaundwa na majimbo ya Sarawak na Sabah pamoja na eneo la shirikisho la Labuan (funguvisiwa) lililoanzishwa mwaka 1984.

Idadi ya wakazi ilikuwa milioni 5.77 mwaka 2010.

Upande wa dini, Waislamu ni 51.3%, Wakristo 33.3%, Wabuddha 9.3% n.k.

Tanbihi

hariri

Viungo vya nje

hariri

Marejeo

hariri

3°N 114°E / 3°N 114°E / 3; 114

  Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.