Malindi (maana)
Malindi inaweza kumaanisha:
- Malindi, mji wa pwani, kaskazini kwa Mombasa, Kenya
- Malindi, kata ya Wilaya ya Lushoto - mkoa wa Tanga, Tanzania
- Malindi (Zanzibar), kata ya jiji la Zanzibar, mkoa wa Unguja Mjini Magharibi, Tanzania
Malindi inaweza kumaanisha:
Ukurasa huu una maelezo ya maana ili kutofautisha nia mbalimbali zinazolengwa na neno moja. Kwa usaidizi kuhusu makala za aina hii tazama Msaada:Maana
Maelezo katika ukurasa huu yawe mafupi, na kwa kila maana kuwe na kiungo kimoja tu ambacho kiunge ukurasa kuhusu nia yenye maana hii. Ukiwa umefika hapa kwa kutumia kiungo katika makala nyingine, tafadhali badalisha kiungo kile kiunge makala iliyokusudiwa moja kwa moja. |