Mami Yamaguchi (alizaliwa 13 Agosti 1986) ni kocha wa mpira wa miguu nchini Japani. Kwasasa ni kocha msaidizi wa klabu ya Roho Washington inayoshiriki ligi ya NWSL. Mami alichezea timu ya taifa ya Japani na kwa mara ya mwisho alichezea klabu ya Detroit City FC.[1]

Marejeo hariri

  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mami Yamaguchi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.