Mamlaka ya watu weupe

Mamlaka ya watu wepe (kutoka Kiingereza: White supremacy au white supremacism) ni itikadi ambayo imejikita katika imani ya kumwezesha au kumhamasisha mtu mwepe kuwa juu na bora zaidi kwa watu wa rangi nyingine hivyo basi, watu weupe waweze kuwashinda watu ambao sio weupe katika nyanja zote yaani kiuchumi, kisiasa na kijamii. Kwa baadhi ya watalaamu wa Kizungu hili hulichukulia kundi la chuki.

Wanachama wa pili kikundi cha kibaguzi cha Ku Klux Klan katika mbio zao mnamo 1923. Hiki ni kikundi cha mijitu mibaguzi hakuna mfano.

Tazama pia hariri

Viungo vya Nje hariri