Manakara ni mji ulio makao makuu ya mkoa wa Fianarantsoa nchini Madagaska.

reli iliyopita katika mji wa Manakara
ramani ya mji wa Manakara

Idadi ya wakazi wake ni takriban 35,499.

Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Manakara kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.