Mji wa Manaus

Manaus ni jina la mji mkuu wa jimbo la Amazonas, nchini Brazil. Kwa mujibu wa sensa ya mwaka wa 2009, mji huu uikuwa na wakazi wapatao milioni 1.7. Mji huu upo mita 92 juu ya usawa wa bahari.

Manaus
Majiranukta: 3°06′00″S 60°01′00″W / 3.1°S 60.016667°W / -3.1; -60.016667
Nchi Brazil
Kanda North
Jimbo Amazonas
Idadi ya wakazi
 - 1,738,641
Tovuti: www.manaus.am.gov.br
Bandeira de Manaus.svg

Viungo vya njeEdit

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu maeneo ya Brazil bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Manaus kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.