Mangi Shangali alikuwa mangi wa Machame kutoka katika ukoo wa Mushi yaani Moshi. Huyu Moshi alikuwa hodari sana katika uongozi na utawala katika eneo lake huko Machame.

Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mangi Shangali kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.