Mangochi ni mji ulioko kusini mwa Malawi.

Kijiji cha Nselema, wilaya ya Mangochi, Malawi
Kijiji cha Nselema, wilaya ya Mangochi, Malawi

Mwaka 2018 ulikadiriwa kuwa na wakazi 53,498[1].

Tazama pia hariri

Marejeo hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mangochi kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.