Manicaland ni mkoa wa Zimbabwe upande wa mashariki wa nchi.

Una eneo la kilometa mraba 36,459 na wakazi 2,038,000 (2022)[1].

Makao makuu yako Mutare.

Tanbihi hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Manicaland kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.