Manthe Ribane

Msanii, mwigizaji na mwanamuziki wa Afrika Kusini

Manthe Ribane, ni msanii, mwigizaji, na mwanamuziki wa nchini Afrika Kusini na Mkurugenzi wa ubunifu katika studio ya 113 Studios.

Ribane katika kazi zake za kisanii

Dazed aliandika kwamba, katika vyombo vingi vya uigizaji ambavyo Ribane anajulikana navyo, dansi yake ilikuwa ni ya kuvutia na kipekee zaidi. [1] Anajulikana sana katika tasnia ya dansi nchini Afrika Kusini, ana mitindo mbalimbali ikiwa ni pamoja na pantsula, crumping, na voguing[2].

Kama mwanamuziki, Ribane ameshirikiana na wasanii mbalimbali ikiwa ni pamoja na rapa Spoek Mathambo. Akiwa na mtayarishaji wa muziki Hyperdub Okzharp, alitoa EP ya gqom mwaka 2016 na albamu ya Closer Apart, mwaka 2018. [3]

Marejeo hariri

  1. Alemoru, Kemi (2018-04-24). "Manthe Ribane – Dazed 100". Dazed (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2019-12-31. 
  2. "Manthe Ribane • Black Major". Black Major (kwa en-ZA). Iliwekwa mnamo 2023-02-26. 
  3. Cardew, Ben (2018-07-14). "Okzharp & Manthe Ribane: Closer Apart". Pitchfork (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2019-12-31. 
  Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Manthe Ribane kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.