Manzanillo, Colima

Manzanillo ni mji mwenye bandari muhimu katika jimbo la colima. Upande wa magharibi ni maji wa Pasifiki. Mwaka 2005 ilikuwa na wakazi 110,728 mjini, pamoja na mitaa ya jirani rundiko la mji lina wakazi 137,842.

Sehemu za Mji wa Manzanillo, Colima



Manzanillo
Nchi Mexiko
Jimbo Colima
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 132,273
Tovuti:  www.manzanillo.gob.mx

Uneo lake ni 1,578.4 km².


Mji ulianzishwa mwaka 1948.




Makala hii kuhusu maeneo ya Mexiko bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Manzanillo, Colima kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.